Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Inasemekana JAMII inapenda WAJINGA hasa wale wafikiriwao ni WAZURI uchi!:-(

>> Monday, April 18, 2011

Ndio,...
....inasemekana WEREVU bado hunogewa zaidi na WAJINGA,....
... kwa kuwa eti UJINGA hueleweka kirahisi kuliko usio UJINGA!:-(

Swali:
  • Au?
  • Si labda hata wewe ni mzuri zaidi UCHI?

Labda kama unahisi wewe sio MJINGA,...
.... LABDA kuwa MJINGA ili labda tukupende ZAIDI!:-)


NI wazo tu hili MKUU!:-(


Hebu Rick James aanzishe kwa -Cold Blooded
Tupate stori za Rick James kiduchu.....Ngojea Michael Jackson aturudishe duniani- Earth Song


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Malkiory Matiya 4:11 pm  

Swali ngumu,ninaweza kudhania si mjinga lakini kumbe mbele ya wengine nikaonekana hivyo!

SIMON KITURURU 6:18 am  

@Mkuu Malkiory: Mmimi naamini wengine waache tu na imani zao kwa kuwa imani za wengine bado ni za wengine na hata ufanyeje wengine labda watafikiria vingine!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP