Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa, INGAWA, , halafu,....LABDA!

>> Sunday, April 03, 2011

Kwa kuwa ,...
.... inaaminika,...
...halafu UKAAMINI,...
... na kuaanza kufikiria ,...
...LABDA ,...
... ni kweli,...

.....

Swali:
  • Si unajua ukikwama hapo ndio unaweza kuzidiwa NA udhaifu wa KUJIAMINI mpaka yale yote ambayo ulikuwa unauhakika sio sahihi MWANZONI  yanaweza anza kuonekana labda ni kweli kwa kuwa yako tu wakati unaudhaifu unafikiri labda kimfikirio ULIKOSEA kitu?


Kwa kuwa ,....
.....INGAWA....
..... halafu......

.....LABDA,...
.... bado si kweli majibu ya ATAPATAPAYE kwa kuwa maji yamemfika SHINGONI bado ni KIGEZO kuwa NI  kweli yake ni ndio MAJIBU sahihi hata kama ni KIIMANI tu kwa waaminio!:-(


Ni wazo tu hili BINGWA na NI ruksa kutolielewa!:-(Hebu I Wayne aanzishe UPYA kwa -Need Her In My ArmsI-Wayne adinye tu na- Living In Love
Aingie ndani zaidi ya nanihii kwa-Life Seeds
Au tu Richie Spice aingilie kati na kuzima manyanga kwa - More Life


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP