Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika ya watu yadhaniwayo RAHISI, labda SI rahisi kwa kuwa ``THe deVIL iS in thE DetaiLS!´´.:-(

>> Friday, October 21, 2011

Ndio,...

... MENGI kama huhusiki  katika kuyatimiza na unategemea MTU MWINGINE atimize huku ukidhania ni rahisi,...
... labda  kumbuka tu USICHOKIJUA  hata kwa UMJUAYE,...
....kama unadhania ni rahisi kwako haimaanishi kwa mwingine ni KIBONDE,...
....kitu ambacho labda ndio maana SIO RAHISI wasiojua ``DETAILS´´ kuelewa  wafikiriavyo ni RAHISI kutimizwa na wawatumainiwao  watatimiza,...
... kama tu labdaWATANZANIA wajuao miakili ya Rais MKAPA  halafu wakastukia hatimizi,...
...hutokea HAWATIMIZIWI huku wanashangaa hata KISIRI  kwa kuwa labda KIUKWELI  katika DETAILS labda katika shughuli za kiume kumshughulikia MWANAMKE kuna msenge ASIYEJULIKANA KATIKATI YA SHUGHULI ya KUMCHANUA MWALI  ki-DETAILS  aisee ikichunguzwa!:-(



Swali:
  • Unabisha?

Ndio,...
...  kuna vipengele kwenye MUWA,...
... na kama  vipengele  aka VIFUNDO havipo,...
....KIDETAILS labda ndio siri kwanini  MUWA hushindikana kuwepo  pia AISEE!:-(

Ni wazo tu hili lilopinda kiduchu KAMANDA!:-(

Hebu Gregory Isaacs abadili ndude KIWAZO kwa kugusia tena - My Only Lover





Aguseguse- Substitute



Atekenye -Hush Darling



...apapasepapase na ku- Cool Down The Pace




Gregory Isaacs huyuhuyu ajaribu ku - Confirm Reservation



Asiruke-Front DOOR



...abembeleze tena  kwa-Objection Overruled




Au tu tena kiaina azime kwa -Not The Way


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP