Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mbunge wa MVOMERO Ndugu AMOS MAKALLA atembelea eneo la mgogoro wa ardhi KINYENZE

>> Thursday, October 13, 2011

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (mwenye suti) akiangalia uzio

uliowekwa na mwekezaji katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha
Kipera, Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro na kuziba njia inayokwenda
katika mtaa wa Mwanga na katika mashamba.

Pia mwekezaji huyo raia wa kigeni amechukua sehemu ya mashamba ya wananchi hao bila ya taarifa
yeyote kwa Halmashauri ya Kijiji na wananchi.












Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla  akiwa na Hamis Maguo , alipotembelea hivi karibuni Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera , kufuatilia mgogoro kati ya wananchi wa Kijiji hicho na mwekezaji












Nimetumiwa na :
Mroki Mroki/FATHER KIDEVU
Director MD Digital Company
General Secretary PPAT
Professional Photojournalist & BLOGGER
P.O.BOX 110097,
Mob: +255 755 373999 /+255 717 002303,
Email: mrokim@gmail.com.
Blog: www.mrokim.blogspot.com
DAR ES SALAAM, TANZANIA

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP