Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati unamuangalia MWENYE MATUSI ambaye hajatamka bado TUSI!

>> Friday, October 14, 2011

Mtu huweza kuchagua kukaa KIMYA  ili ahisiwe au hata aonekane kuwa   ana BUSARA,...

 ... tatizo LABDA  ni pale WASIO NA BUSARA wakaao KIMYA kuanza kuamini ni kweli wanabusara kwa kuwa wanahisiwa na WENGINE wasio jua kitu kuwa ,...
... WANABUSARA.


Swali:
  •  MKuu yeyote umfikiriaye sasa hivi hatakama ni MSWAHILINA  si unakumbuka kuwa ana matusi?
  • SI unajua MWENYE matusi anayo tu hayo MATUSI hata kama kakaa kimya?

Ndio,...
... na labda KUMBUKA TU kuwa  mwenye haja kubwa,....
... anayotu hajakubwa mwilini hata kabla hajastukia haja kubwa imembana au WATU wengine  kushuhudia hitaji lake linamuelekeza CHOONI!:-(

Ni wazo tu hili MKUU!:-(


Hebu Singing Sandra aanzishe upya kwa - True Colours



Singing Sandra aendeleze kwa -Crying



Halafu Ella Andall azime tena kwa - Rhythm of A People


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP