Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo katika konsipirasi: Did William Shakespeare write his own stuff?

>> Tuesday, October 18, 2011

Film claims William Shakespeare did not write his plays
Excerpt from a mock trial of Shakespeare for literary fraud. James Boyle, Shakespeare's "lawyer," has just released a literary mystery called "The Shakespeare Chronicles" about the question -- Who Wrote Shakespeare.
Ndio,...
... kuna wadaio William Shakespeare siye aliyeandika ndude zijulikanazo kuandikwa naye ila kuthibitisha ndio KASHESHE.

Ndio,...
... SWALA hili NALO,...
...nimoja tu jingine nililokutananalo KIJIWENI !:-(

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 12:44 am  

Hilo silo jipya, Mkuu; na zaidi ya waandishi nusu ya wote duniani wenye stori za kubuni WAONGO tu. Stori zao zinatoka kwa watu halisi au ZIMEIBIWA. (Siri ni kuiba bila kukamatwa naye Shakespeare aliweza kwenda kaburini bila kukamatwa)

SIMON KITURURU 3:49 pm  

@Mkuu Goodman:Umenena Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP