Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

PRESHA za WEWE kuwa kama WALE na MIMI kuwa kama WEWE zivalishavyo chupi UHURU binafsi!

>> Saturday, October 22, 2011

Kuwa HURU ASILIMIA MIA kwa MIA wakati uko hai,....


.....labda  hilo ni ALINACHA tu a.k.a JAMBO la kufikirika tu,...
..... hasa  kwa kuwa  WEWE ni WEWE na uhuru wako labda wahitaji  uhuru kwa kuwa kuna watu WENGINE!!:-(

Swali:
  • Umestukia  kuwahuru  NI SWALA  lakufanyia kazi SIKU  hadi SIKU, dakika hadi DAKIKA  hasa kwa kuwa  WEWE ni WEWE  na  uhuru WAKO unasababishwa pia na uwepo wa wengine ambao huna MAMLAKA ya WAFIKIRIAVYO au hata uwepo wao?

Ndio,...
..... labda MOJA  ya kifichacho watu  kuwa  hawako huru,... 
... ni  imani zao tu  kuwa WAKO HURU  na ya WENGINE  hayawaathiri  kitu ambacho labda nacho ni ALINACHA tu KIHALIHALISI!:-(


Ni wazo tu hili KAMANDA!:-(


Hebu tena The Isley Brothers waingizie - ContagiousThe Isley Brothers waongezee dozi tena kwa - Secret LoverAu wazime tu tena kwa -Between the sheets

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP