Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jinsi ya KUBUSU Kiswahili!

>> Friday, October 28, 2011

ALAAH!

  • Kwani MABUSU si kama kuvaa chupi tu ambavyo yadaiwa ni vitu vya KUIGA?

Tukiachana na hilo,...
... kwa wapendao kuiga ya wenzetu,...
... labda DEKU

How To Be a Good Kisser



How To Kiss With Passion


How To Kiss Creatively




Eee BWANA eeh!

Tukiachana na BUSU
Ijumaa njema MDAU,...'
.... lakini ikibidi KULA DENDA MKUU!

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:26 pm  

HIVI kuna KUBUSU kwa aina ngapi? nikimaanisha kila lugha ina ubusaji wake?

Simon Kitururu 7:43 pm  

@Mdada Yasinta: Busu kiaina hazina hesabbu kwa kuwa inategemea na mtu anatafsiri bubsu ni nini ukizingatia kula mate kwa wengine ni uchafu kama tu kulamba chini kuitwakwo na wajanja busu pia.

Na labda sio kila lugha ina busu kwa kuwa katika kila lugha si kila alambwaye hata sio chini au kuingizwa liulimi MDOMONI anafananisha kitendo hicho na kuguswa tu shavuni na midomo bila hata sauti kitafsiri vyote vyahitaji jina hilohilo ``BUSU´´

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP