Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hakuna kitu cha BURE,...

>> Tuesday, October 25, 2011

....na labda ota machale ,...
...ukistukia MTU  anadai  kukupa KITU akiitacho ni cha BURE!:-(

 Swali:
  • SI unakumbuka BURE ni ghali  hata kama sio kwa waziwazi  KIPESA?


Tunakumbushana tu  MKUU!
Tuko PAMOJA!

Au tu tena hebu Ladysmith Black Mambazo waanzishe upya kwa- Knocking on Heavens DoorLadysmith Black Mambazo na Paul Simon waachie -HomelessPaul Simon na Ladysmith Black Mambazo wazime kwa -Diamonds on the soles of her shoes


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 6:00 pm  

Upo sahihi Mtakatifu HAKUNA KITU CHA BURE..hata upendo nao si bure...mmmmhh..naaacha

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP