HISTORIA ni KATILI kwa ASHINDWAYE!
>> Thursday, October 13, 2011
Swali:
- Si unakumbuka ni WASHINDI mara nyingi stori zao ndizo HUSIKILIZWA?
... labda ota JICHO la tatu ,...
... hata katika stori nzuri za historia UZISIKIAZO za ya VYAKO kama sio hata ya KIKIJIJI chako,...
..... kwa kuwa yawezekana katika stori TAMU kuna yaliyorukwa kwa MAKUSUDI na mtoa stori ASIKILIZWAYE :-(
Ni wazo tu hili kimstuo tu MHESHIMIWA!:-(
Hebu turudi BENIN ili Kiinzah aendeleze kwa - Femi
Fafa Ruffino atubakize hapahapa BENIN kwa -ILE
Au tu tukatizie GUINEA ili Mory Kante akiwa na SANTANA wairudishie uhai -YEKE YEKE
Halafu turudi KAMERUNI ili MANU DIBANGO azime tena kwa-Soul Makossa
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
nanukuu "HISTORIA ni KATILI kwa ASHINDWAYE!" mwisho wa kunukuu:- Si utani!!
@Yasinta: :-(
Post a Comment