Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAJIBU ya KITU labda MTU huwa nayo MBELE YAKE tu ,....

>> Sunday, October 16, 2011

... na yasemekana tatizo liko  kwenye kuyastukia TU kuwa  hayo ni MAJIBU,...
....na baada ya kuyastukia  ,...
... kuyafanyia KAZI ili yawe kikweli ni JIBU!:-(

Swali:
  • Unabisha?

Ndio,...
... katika tatizo lako LABDA ni wewe mwenyewe UNAJIBU sahihi,...
... ..kwa hiyo labda jiamini tu na chukua hatua kwa ufikiriacho ni JIBU hasa kwa kuwa ajuaye unatatizo gani vizuri ni WEWE MWENYEWE na  hilo pekee YASEMEKANA NI KIGEZO TOSHA  kama sio  ni moja ya misingi ikufanyayo kuwa WEWE ndio MWENYE jibu zuri  zaidi kuwa kipele chako cha siri MAISHANI kikunwe au kibinywe!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumapili njema KAMANDA!:-(

Hebu Lou Reed aanzishe kipengele upya kwa- Walk on the Wild Side
Pink Floyd wapenyeze- Wish You Were HereLou Reed aongezee dozi kwa - Perfect DayAu tu hebu U2 wazime kwa-Sweetest thing

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP