Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE SONGWE MBEYA

>> Wednesday, October 26, 2011

Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akiongea na wakandarasi wa uwanja wa ndege songwe Mbeya alipotembelea kuona maendeleo ya kiwanja hicho
Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya Ezekia Mwalutende akisoma taarifa ya ya ujenzi wa kiwanja cha ndege songwe Mbeya

Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi uwanja huo kwa muda uliopngwa

Hili ni jengo la abiria likikamilika linauwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa
Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP