Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo la MAJIBU,....

>> Wednesday, October 19, 2011

......huwa hayajibu kitu  baada ya MTU kujibiwa kama ajibiwaye,....
.....hayayafanyiikazi!:-(Ni angalizo tu hili  MKUU!


Hebu Mbaraka Mwinshehe  arudie - Urafiki Mwisho Wa MweziAu MBARAKA MWINSHEHE aongezee dozi kwa  - Shida6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 2:58 pm  

Umenikumbusha mbaaaaaaaali

Yasinta Ngonyani 3:29 pm  

Ýaani mbali mnooooooooooo... nimesikiliza mpaka nimetokwa kwa chozi..hasa huo wa kwanza maana unafanana na msemo huu rafiki ni wakati wa shida na raha...Ahsante Simon!!!

SIMON KITURURU 3:47 pm  

@Mkuu CHIB: Tuko Pamoja!
@Yasinta: Pole sana pia kwa kuwa najua unaumwa na walasijakujulia hali. Kawimbo hako ka kwanza kananisuta kidogo!:-(

Yasinta Ngonyani 4:02 pm  

Simon! Ahsante...Lakini huhitaji kujisia hivyo kila binadamu ana maisha ya mikikimikiki... wala usiwaze mbali hivyo Tupo pamoja bado nipo hai:-(

Mcharia 12:47 pm  

@WOYE:
Amani iwe nanyi.

SIMON KITURURU 12:52 pm  

Asante Rasta Mcharia!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP