Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NDIO !..labda UFIKIRIAVYO TU ndio kitu kiwezacho geuza neno KIDUDE kiwe TUSI au LA!:-(

>> Wednesday, October 12, 2011

Na ni RUKSA kubisha,....
... ingawaje hata neno ´´KUBISHA``,...
... yategemea tu na MTU unavyofikiria kwa kuwa neno KUBISHA nalo halina MAANA MOJA na halitekelezwi kiaina MOJA.:-(

Swali:
  • SI mwenye kuwaza uchafu  chochote kisemwacho huweza kugeuka na kuwa na maana CHAFU?
  • Si hata  ubepari wa KIULAYA (  Social Capitalism)kwa MAREKANI ni matusi ukioanishwa nao kama afanyiwavyo Rais Obama?
  • Na si umeshasikia siku hizi HAPA DUNIANI imeshafikia  hata JUMA na ROZA  kitafsiri na wafikiriavyo baadhi ya watu  ni kuwa wote wanapatikana katika JINSIA  moja kitu kifanyacho  kuna nchi ni halali  kukuta NDOA za JUMA na ROZA ambao mmoja katafsiriwa ni wakikekike na kuitwa MKE  na mwingine ni wakiumeume ajitambulishaye katika mahusiano hayo kama MME  na kitendo cha kufunga pingu za maisha kati ya wanaume hao au wanawake hao  wawili bado tafsiri yake ni ileile ``NDOA´´ kama itafsiriwavyo kwa wale wenye mahusiano ya  MWANAMKE na MWANAMME kindoa?

Ndio ,...
... siku hizi mpaka NDOA hapa duniani,...
... labda hutegemea tu na  afikiriavyo kama sio ATAFSIRIVYO mtu.

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Bobby McFerrin aanzishe upya kwa - Turtle Shoes


Bobby McFerrin aongezee dozi kwa  - Invocation



Au tu tena FLOETRY waingiliekati na kukuna tena kidude kwa-FLOETIC

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP