Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

"Nakusa" or "unwanted,"-Katika kukumbuka TOTOZ za KIKE bado sehemu kibao DUNIANI hazikubaliki!

>> Wednesday, October 26, 2011

Umestukia maajabu ya MUSA kuwa,...
... watu wadaio kupenda MAMA zao ambao ni WANAWAKE,...
... mpaka pia kuhusudu TOTOZ ZA KIKE kimahaba na katika swala la kujenga FAMILIA,...
... bado wapo ukiwapachaguo kuwa na MTOTO wa KIKE ni  noma kwao?:-(

Hebu tudeku hii ndude INDIA

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 6:31 pm  

Hili bado nitatizo miongoni mwa familia japo, baadhi hawasemi lakini,kimyomoyo ina wakuna.wakati mwingine hata katika familia akitangulia mtoto wa kike, nishughuli.mtazamo wangu,nikwamba kiukweli watoto wote nisawa .kaka s.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP