Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna watu takribani BILIONI SABA Duniani!

>> Wednesday, October 26, 2011

Na kuna wadhaniao WAO ni WAO ,...

...kama vile DUNIA na yaliyomo DUNIANI ni yao tu ,...
... kama sio yawazunguke wao tu!:-(
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

SAM mbogo 12:28 pm  

HAKIKA HII IDADI NIKUBWA. NIKWELI USEMAVYO NDANI YA WINGI HUU,KILA MTU,TAIFA,NCHI,ANA ANACHOKIONA YEYE KWA UTAIFA WAKE,KAMANCHI NI BORA/NIMUHIMU KULIKO MWINGINE.BILA KUSAHAU IDADI YA WATU KATIKA TAIFA FULANI,UCHUMI,NGUVU YA DOLA,VYAWEZA KUCHANGIA MADA HII YA LEO.HISTORIA PIA INAWEZA KUSAIDIA HOJA/MADA HII KIAINA FULANI,WAKATI MWINGINE HATA SI UKUBWA WA NCHI,BALI NIJINSI TAIFA/NCHI,KAMA DOLA INAVYO THUBUTU,AU ILIVYO WAI THUBUTU,NA HATIMAYE LEO KUONEKANA NI BORA ZAIDI KULIKO NYINGINE. BADO NAJARIBU KUTAFAKULI HOJA HII MKUU.KAKA S.

emu-three 2:05 pm  

Hivi hawo watu wote mkutane kwenye uwanja mmoja,itakuwaje, basi, siku ya mwisho tutakutanishwa wote kwenye uwanja mmoja...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP