Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa aachaye KINYESI bila kuvuta MAJI MSALANI labda kwake hilo si TATIZO!

>> Friday, October 14, 2011

Lisilo TATIZO kwa ZUBEDA  na lisilo muhusu MWANAISHA,.....


 ... likimtatiza  MWANAISHA ,...
..... basi yawezekana ni  NI TATIZO tu kwa MWANAISHA kwa kuwa  kaligeuza kuwa TATIZO TU kwake.


Swali:
  • Lakini  si labda bado LISILOKUTATIZA laweza kuwa ni tatizo halali kwa wengine?
  • Si tatizo la choo kichafu labda sio kali kwa aliyeacha choo kichafu kama ilivyo kwa ambaye baadaye  akutaye timba pembeni kwenye choo kichafu?

Ndio,...
... tusisahau labda kuwa bado kuna UKWELI,...
... lisilo TATIZO kwa NYERERE na halikumusu KIKWETE bado laweza kuwa ni moja ya misingi ya matatizo kwa Rais KIKWETE.!


Ni wazo tu hili na RUKSA kutolielewa!


Hebu Red fox aanzishe upya kwa-Ghetto gospel



RED FOX apandishe dozi kwa - BORN AGAIN BLACKMAN



Halafu Red Fox ahamishe tu kipengele  kwa -Dem A Murderer


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 12:55 am  

Tukizingatia kwamba matarajio ya binadamu ni sawa kote duniani na kwa wakati wote, haiwezekani mtu akajigeuzia tatizo liwe ni lake likiwa sitatizo kwa wengine. Bali naweza nikachukulia tatizo kama si tatizo kwangu kutokana na nia zangu; na kama nia yangu nikukipatia choo hicho sifa ya uchafu, basi nitamfurahia aliyeacha kinyesi hovyo. Lakini hiyo si kwasababu napenda mnuko, bali ni kwa nia yangu kutimiza matakwa nje ya choo hicho: yaani kumkomoa mwenye-choo au mwenye kujidai yeye ni msafi ("ULTERIOR MOTIVES").


Ndio maana, Mkuu, binadamu anapokuunga mkono katika tendo moja zuri au baya, chunguza kwa makini nia yake ni nini! Zaidi ya asilimia hamsini utakuta nia zenu si sawa kabisa (na wenzetu wanao msemo ufuatao "POLITICS MAKES FOR STRANGE BEDFELLOWS")

Simon Kitururu 7:04 am  

@Mkuu Goodman: Umenena!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP