UCHESHI: Bill COSBY aliwahifikiria jina lake ni JESUS CHRIST ,Rais mtarajiwa HERMAN CAIN aimajini THERE IS NO PIZZA na RICHARD PRYOR ajua DANGANYA za WATOTO !:-)
>> Saturday, October 29, 2011
Swali:
- UMENUNA?
Ndio,..
... baada ya KUNUNA kuchekelea kanyau kuna starehe zake aisee!
Ila kwa BAHATI MBAYA kila mtu anachekeshwa na vitu tofauti,...
....na ndio MAANA wakati mwingine anaangu kuna WACHEKAO.
Hebu RICHARD PRYOR asimulie
-When KIDS lie
Halafu tudeku ni kwanini ,...
....Bill Cosby -Thought He Was Jesus Christ
Cheka BASI bwanaaaa,..
... si unajua KUCHEKA ni DAWA?
Au tu Rais Mtarajiwa wa MAREKANI HERMAN CAIN ,...
.......achukue side ya PIZZA katika- Imagine There's No Pizza
Tukiacha utani ,...
... hebu John LENON arudie -IMAGINE
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment