Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Video nyingine ya enzi za TANCUT ALMASI ORCHESTRA(1989)

>> Saturday, October 22, 2011

´´Ninakwenda safari, safari yenyewe safari ya kikazi,
Ninakwenda safari, safari yenyewe ya masafa marefu,
Najua hapa utabaki, watasema mengi,
Pia wabaya wetu mama watafurahi.
Chorus
Safari sio kifo mama iyeeo
subiri ntarudi mama iyeoo
Nikirudi mama nipokee kwa mikono miwili
Nikirudi mama nitakuletea zawadi
Zawadi nono mama watototo
Iyee mama iyee...``

Haya tena TANCUT ALMASI ORCHESTRA(1989), wakiwa jukwaani live Tancut Club Iringa wakiporomosha kibao MASAFA MAREFU
Bofya HAPA
--


Nimetumiwa na:
John Kitime

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP