Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NGUMI KULINDIMA PANANDIPANANDI ILALA JUMAPILI HII MABONDIA WAPIMA UZITO

>> Saturday, October 15, 2011Kocha wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli akiwaelekeza vijana toka klabu mbalimbali jinsi sheria za mchezo wa ngumi zinavyokua wawapo ulingoni.Michuano ya mchezo wa ngumi inatarajiwa kulindima kesho jumapili katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni.

(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)


Baadhi ya wachezaji wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano utakaofanyika jumapili hii.

(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Kocha wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli akiwaelekeza vijana toka klabu mbalimbali jinsi sheria za mchezo wa ngumi zinavyokua wawapo ulingoni . Michuano ya mchezo wa ngumi inatarajiwa kulindima kesho jumapili katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
        +255774406938
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania


Nimetumiwa na:
Super D

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 11:51 pm  

Nafikiri mchezo huu, pamoja na hatari zake, ni moja katika michezo mizuri kujengea tabia ya kuvumilia, kudhibiti hofu, kuwaza haraka, kusoma akili ya mtu; na mambo mengi sana yatakaemsadia kijana sana katika maisha HATA NJE YA NDONDI!

Kwa hiyo nasema asante, Mkuu Simon, kwa kuliweka juu suala hili leo!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP