Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Haya WAMAREKANI WEUSI, Ni MWEUSI gani MBAGUZI zaidi wa RANGI?

>> Wednesday, October 12, 2011

Swali:
  • Si inakumbukwa WEUSI kwa WEUSI, WAAFRIKA kwa WAAFRIKA wenye asili ya KIAFRIKA hubaguana pia kwa RANGI? 
  • Au?

Haya  turudi MAREKANI  kwa mgombea URAIS yule Herman CAIN:...
...Is Herman Cain a racist?


Ndio,...
... kwenye msosi wa mchana leo topiki ya watu weusi kutoko MAREKANi niliojichanganya nayo ilikuwa hiyo hapo juu!:-(

NI hilo tu MKUU!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP