Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MHASIBU MKUU DELMORE COMPANY - AFRICA DENIS FULGENCE AUAGA UKAPERA.

>> Tuesday, October 25, 2011

Maharusi wakiingia Ukumbini kwa kwa furaha na Stail ya aina yake.

Bwana na Bibi Denis Fulgence wakiwa katika pozi la kipicha zaidi.

Mr and Mrs Stephen Malakasuka nao hawakuwa nyuma katika kushereheka pamoja katika harusi ya Wapendwa wetu Maharusi.
Bi Harusi Ajimbo Fulgence akiwaongoza wageni waalikwa kwenda kwenye kuchukua chakula kilichoandaliwa na wataalam wa upichi wa Bufee ndani ya Ukumbi wa Beach Komba.

HONGERENI SAAANAA!! MMEPENDEZA.


Nimetumiwa na:
Henry Kapinga wa KAPINGAZ Blog

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP