Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bethlehem Tilahun Alemu -MWANAMKE wa SHOKA kutoka ETHIOPIA!

>> Friday, October 28, 2011

Bethlehem Tilahun Alemu


Mwanamke huyu  kageuza biashara ya MAKATAMBUGA kuwa ya KIMATAIFA,...
... kitu ambacho unaweza kustukia ushoka wake kwa kuwa  unajua BIASHARA za viatu vya MCHAGA KAJITAHIDI,...
... kwetu BONGO jinsi  huishia ziishiako na hata watengeneza KATAMBUGA husikii wakikuza KATAMBUGA kuwa kitu kikubaliwacho DUNIANI!:-(


Habari zake zaidi msome HAPA


..au hata HUKU

....kama sio :http://solerebelsfootwear.blogspot.com/


Baadhi ya NDUDE zake ziendazo kwa BRAND :
SOLE REBELS

Hebu tusikie alipoalikwa na Rais Bill Clinton alisema nini,...
... anaanza kwenye dakika kumi na tatu ya kideo hiki...


Watch live streaming video from cgi_breakoutseminar1 at livestream.com


Na sijui kwanini HEBU tupate tena-Tam Tam pour L'Ethiopie


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Swahili na Waswahili 3:59 pm  

Kweli mwanamke washoka na kazi zake ni nzuri, Hongera zake sana tuu!!!

Yasinta Ngonyani 4:58 pm  

Nimeipenda kazi yake ...Ama kweli wanawake tumo! Hongera!!

SIMON KITURURU 7:46 pm  

@Rachel na Yasinta: Kigoli huyu NGULI ukizingatia sio wengi wawezao geuza biashara ya makatambuga iliyojaa WAKAKA kugeuka biashara kikweli kisa MWANAMAMA kashika hatamu.!
WAMAMA OYEE!
Na labda twahitaji MWANADADA katika URAIS BONGO ndio MABADILIKO ya kweli yatatokea!

Yasinta Ngonyani 8:50 pm  

nakubaliana nawe mtakatifu..... nitagombea awamu ijayo je unafikiri nitashinda?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP