Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAPENZI ya watu wawili hayana DISPLINI WEYE bwana,...

>> Thursday, October 13, 2011

... na kama una DISPLINI  katika penzi LAKO  HILO lenye MPAKA  mtu wa PILI,...
.... labda stukia uwezekano labda WEWE au huyo mwenzio afanyaye kwenye penzi muwe WAWILI  kimapenzi hamfanani  na labda katiyenu WAWILI kuna MMOJA  hanogewi sana kihilo PENZI weye!:-(



Swali:
  • Si inajulikana kuwa PENZI  la kweli halihitaji matumizi sana ya AKILI  kikutafakari kinini ni PENZI kiakili ndio maana  KIMAPENZI hata UKIMWI  kama MIMBATU ni oyee kwa mpenzi wakati kapenda?
  • Na si unajua siri kubwa ya CHANGUDOA katika KUCHUNA BUZI  KIMAFANIKIO  ni kwa kuwa anadisplini ya kucheza na engo tu  ajuazo zinaweka kuchuna buzi MSWANO kisa ni kwakuwa katika hili PENZI yeye hajapitiliza KIPENZI?
  • Kwani unafikiri waambukizwao na MPENZI gono kikaswende    hata kabla  hawajakubali kutoa jicho katika kalio-kikalio  huwa hawajui madhara ya kugawa bahati nasibu za shehena kinyeo?

Ndio,...
... MAPENZI ni kikohozi  ndio maana  LABDA hayazuiwi  hata na kwa  kizuizi cha MPENZI  kunuka uchi,...
.... na kama  kiakili unajizuia MPENZI asifaidi,...
... labda hujapenda kisawasawa  WEYE,...
...na UNADISPLINI weye,...
.. kitu ambacho chaweza kuwa ndio ilipo JANJA  YA MDOEZI na yawezekana UTAIBIWA NA WAJANJA weye!:-(


Ni wazo tu hili kitishatoto MHESHIMIWA!:-(




Hebu tu turudi Senegal ili kigoli  Aby Ndour abadili ndude kwa ndude-Fouta




Au tu ghafla Marcia Griffiths na Bounty Killer waingilie kati kwa - Tell Me Now



Halafu Judy Mowatt azime tena kwa-BLACK WOMAN


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP