Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kutumia AKILI , kunayadaiwayo ni busara USITUMIE akili!

>> Thursday, October 27, 2011

 Kwa kutumia AKILI,...

.... yasemekana  BINADAMU atakabili tu yale ambayo kwa UBONGO wa KIBINADAMU yanawezekana kitu ambacho  yawezekana  ya KIMUNGU  jitihada za kuyatatua kwa akili za KIBINADAMU  sio  akili!:-(
Swali:
  • SI umestukia  kuna wadaio  kwa mfan maswala ya IMANI  sio ya  kujaji  WAAMINIO  kwa ni jinsi gani wanaaakili?
  • SI umeshastukia kuwa mengi yahusuyo MUNGU   ukitumia akili   ni rahisi kukwama au hata kuona hata MADINI  yaongozayo imani za  WALIMWENGU hayamekiSENSI ingawa yamejaa WAFUASI ujuao KIBINADAMU  wana bomba za miakili?

Na LABDA  mara nyingi tu  pia  na wala sio KIDOGO,...
... mtu huhitaji   mengine  kuacha  kimakusudi kutumia akili ,...
.... ili  KIAKILI  yasibishane na  ambayo  ni BUSRA na MSAADA kwa binadamu KUISHI maisha yake mafupi  kwa amani zaidi.

Swali ZAIDI:
  • SI lolote la KIJINGA kwa kutumia akili  waweza ligeuza  kuwa ni BUSARA ingawa kwa amani ya roho labda mtu angerizika kirahisi kwa atambuayo kuwa ni UJINGA yakiendelea kubakia UJINGA na hayana chembechembe za BUSARA?

Ndio,...
... ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(Hebu tupitie tena Nigeria Chief Ebenezer Obey aanzishe upya kwa- Ota Mi Dehin Lehin MiOnyeka Onwenu na King Sunny Ade warudie- Wait for me


Halafu tu tena hapahapa Nigeria Onyeka Onwenu azime kwa kibao - EkweIla sijui kwanini hebu turudi Afrika Kusini ili Caiphus Semenya azime tena kwa- Angelina

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:21 pm  

kweli ni afadhali kutumia busara kuliko akili... nimependa nyimbo hiyo wait for me:-)

SIMON KITURURU 7:50 pm  

@Yasinta: Nyimbo KIBONGE hiyo na ukistukia waliipiga lini ndio unawezapia kustukia kwanini ni tamutamu kama sukari ki sio kawaida mpaka siku hizi KIKIBONGE.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP