Baraka CHUMBANI labda bado ni ile kitu MATUSI!:-(
>> Monday, October 17, 2011
Na MATUSI kwa kuwa ni tafsiri tu za WATU,...
... na ile tu MATUSI lakini aisee MHESHIMIWA,...
... labda BADO hata KIHESHIMA TU bado hiyo ni ile kitu iitwayo MATUSI TU MAISHANI ,...
... na ndio maana kitu hiyo mshikaki huweza ITWA pia labda bado hata na MTU fulani hata asiye KIJEBA haki ya NANI VILE kuwa hiyo ndude ni PENZI hata pasipo CHUMBA na ya yajulikanayo kuwa huru CHUMBANI ambayo hata kama sio kisiri HAYO ni kujikojolea.:-(
Swali:
- AU?
- Unabisha?:-(
- Na si CHUMBANI kimsingi ni CHUMBA kitu kifanyacho BAFU , sebule na mpaka chumbani labda bado vyote ni VYUMBA tu ukitafsiri kiaina fulani bila kugusia ufikiriayo yanaukarimu zaidi CHUMBANI na si CHOONI?
Ndio,..
... na labda mpaka kifikiriwacho ni BARAKA ni tafsiri tu za MTUZ,...
... kwa kuwa waliobarikiwa kitafsiri za watu labda ndio akina RAIS KIKWETE au Rais NYERERE ambao kwa wengine hata huko kwenye CHUMBA wakiitacho OFISI kwa yao yawatesao WAO,..
... kwa watesekao na YAO hata kama si ya kama MORISI NYUNYUSA KUTOKUMBUKWA NA WAO ingawa taarifa za HABARI ZAO miaka lukuki zilianza na NGOMA ZAKE ambaye na ambao wako kwenye vyumba ambavyo kiunene sio IKULU,.....labda ya viongozi hao bado sio BARAKA pia.:-(
Ni wazo tu hili KAMANDA!:-(
Jumatatu njema MKUU!Hebu Curtis Mayfield aanzishe ndude upya kwa kudunga tena mbilimbi-Move on up
Curtis Mayfield adinye pia kipengele - Superfly
Bob Marley aingilie kati na kubadili kidude kwa -Dance Do The Reggae
Au tu Bob Marley azime kidude kwa - Reggae On Broadway
Na sijui kwanini lakini labda hebu Curtis adunge tu pia kidonge -Pusherman
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment