Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

R.I.P MUAMMAR GADDAFI!

>> Thursday, October 20, 2011

Muammar Gaddafi  (7 June 1942-20 October  2011)


R.I.P ,...
.....na utakumbukwa na Wakupendao NA wakuchukiao PIA!

Habari zaidi,...
....HAPA


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Swahili na Waswahili 6:21 pm  

Pole kaka Kitururu kwa kuondokewa na kamanda,R.I.P Kamanda Gaddafi!!!!!!

sam mbogo 7:30 pm  

Yaani imeniuma sana,wameniharibia jioni yangu na wiki endi yangu.wenyewe wanafurahi na kupongezana akinamwanafinenge! hasa akina ........!? siwataji leo nitawataja kesho. kaka s,

SIMON KITURURU 7:33 pm  

@Da Rachel na Kaka S: :-(
Ndio,...
... sio kila kitu chake nilikuwa nakubaliana nacho,.... LAKINI!:-(

Yasinta Ngonyani 1:18 am  

Ni kweli wote waliompenda na kumchukia watamkumbuka kwani ndivyo ilivyo:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP