Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Freddy Macha aongea na Urban Pulse

>> Tuesday, October 25, 2011

Salam,
Urban Pulse Creative wakiwa na Mwandishi Nguli wa habari Freddy Macha wanakuletea video fupi ambayo wanazungumzia uzoefu wao, changamoto walizopata na Kujifunza wakati walipofanya Mahojiano Maalum na Mh. waziri mkuu Mizengo Pinda hivi karibuni hapa nchini Uingereza.
Mahojiano haya yatarushwa kupitia kituo cha Stat TV katika kipindi cha Medani za Siasa jumapili hii ya tarehe 30 oktoba 2011 mnamo saa 10.30 asubuhi. Tafadhali usikose kuangalia.
Asanteni sana,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na STAR TV



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP