Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unamkumbuka CARLOS the JACKAL?

>> Monday, November 07, 2011

Carlos the Jackal


Kuna kipindi ilikuwa ukiongelea maswala ya ugaidi au hata ya ``Terrorism´´ jina lake lilikuwa maarufu kuliko Bin Laden maeneo fulanifulani .

Naona anakesi mpya tena huko UFARANSA huyu jamaa iliyoanza leo.

Jikumbushe kama umemsahau  huyu Ilich Ramírez Sánchez aka Carlos the Jackal.




Katika kujikumbusha zaidi kiaina kisimulizi za Wamagharibi kuhusu Carlos,...





2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 5:59 pm  

Ilich Ramirez Sanchez atatimiiza umri wa miaka 62 tarehe 12 Oct 2011. Naye ni mzaliwa tarehe 12 October 1949, siku ya JUMATANO.... na napenda WAZALIWA SIKU YA....


... J-U-M-A-T-A-N-O-!


Wengi wao wamejipatia heshima kwangu kama Wafalme wa Wazulu pamoja na Waingereza (Zwelithini Zulu na Elizabeth).


Labda watoto wote wazaliwa siku ya JUMATANO wana uwezo wa vipaji mbalimbali kama utawala, uteteaji haki, uimbaji, uandishi na mengine...au unaonaje, Mkuu Simon?


Mifano zaidi:

1. Marehemu Heath Ledger , a.k.a. Heathcliff Andrew Ledger, mzaliwa JUMATANO, 4 April 1979

2. Frank Lampard, JUMATANO 21 June 1978

3. Marehemu Tupac Shakur JUMATANO, 16 June 1971

4. Marehemu Brett Kebble , JUMATANO, 19 February 1964 (Msouth-Afrika tajiri mwenye kufa kwa risasi ndani ya gari lake)

5. Keiko Matsui music JUMATANO, 26 July 1961

6. Marehemu Dambudzo Marechera, JUMATANO, 4 June 1952 (Mzimbabwe mwenye maandishi ya kuchekesha pamoja na kuhuzunisha sana)

7. Graça Machel, JUMATANO, 17 October 1945

8. Winnie Mandela JUMATANO, 26 September 1934 (na labda inamaana Mandela ananyota ya wake wakuzaliwa JUMATANO!)

9. Marehemu Rafik Hariri , AKA Rafic Bahaa Edine Hariri JUMATANO, 1 November 1944

10. WA MWISHO MWENYE KIPAJI CHAKE MAALUM ALIZALIWA JUMATANO, 16 January 1974!

Simon Kitururu 3:00 pm  

Mkuu Goodman: Umenifanya nianze kufikiria SIKU wazaliwazo WATU kivingine MKUU!

Nilikuwa sioanishi siku za wiki na uzaliwaji wa MTU kiulivyofanya.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP