....labda TATIZO ni RAIS NYERERE kufanikiwa zaidi kama MTU binafsi NYERERE katika mfumo uathirio zaidi ya mtu binafsi HATA asiye mchumba wa NYERERE!:-(
>> Monday, November 14, 2011
Yasemekana,...
.... kama mafanikio ya Mheshimiwa NDUGU ZITTO KABWE yatakuwa ni yale ya mtu BINAFSI kama yalivyokuwa ya GADDAFI,....... yahitajio MFUMO MZIMA au tu yale yafanikishwayo kwa msaada wa ki(kwa KI-ung'eng'e )``INSTITUTIONS´´ ili wengi waendelee kufanikiwa hata aliyefanikisha ambaye ni Rais MWINYI kwa kuwa bado sio ZITTO KABWE akiondoka ,...
....yahitajiyo MFUMO MZIMA au tu hata ``INSTITUTIONS BOMBA´´ ili yaendelee ,...
....aliyefanikiwa binafsi kama Rais DOKTA BABA WA TAIFA Mwalimu NYERERE aking'atuka hayo hufa kwa kuwa misingi ya yakuyaendeleza kimfumo au hata ki vyombo vya UMMA kiidara ambavyo vyaweza kuendelea na mchezo uleule,...
...hushindwa kucheza mchezo uleule VILEVILE kisa mtu binafsi hata KIMKAPA hayuko tena katika HATAMU.
Swali:
- Kwani unafikiri baada ya NYERERE - ile ndude CCM bado ni ileile KIVILEVILE?
- Na si yasemekana kama kuna MISINGI MIZURI ya mfumo katika idara za KIKWETE yeyote asiye kikwete , KIKWETE akiondoka anaweza kujikuta kirahisi tu ana KIKWETESESHA?
- Si unakumbuka labda mtu mmoja ni chachu tu na huhitajika KIJIJI KIZIMA ili kutunza kijiji KIZIMA?
Ndio,...
.... yasemekana SABABU MOJAWAPO ifanyayo ya GEORGE BUSH yafanane na ya BARRACK HUSSEIN OBAMA ni mfumo na idara zichezazo vilevile MCHEZO ULEULE na ndio maana VITA za GEORGE BUSH huchezeka vilevile hata kama ashikiliaye kiuno ni OBAMA.:-(Ni wazo tu hili lililopinda KIDOOOOOGO MHESHIMIWA !:-(
Hebu tu tena Baaba Maal na wenzake wabadili WAZO kwa kurudia tena- Three Little Birds
Au tu tena Herbie Hancock na Céu waingilie tena kati na kuzima kwa - Tempo de Amor
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment