Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Swala la kuwa na ``UHAKIKA NA KITU´´ labda ni jambo la kufanyia kazi KILA SIKU....

>> Wednesday, November 23, 2011

 ....kwa kuwa  SWALA la UHAKIKA,...

.... laweza kuwa lahitaji IMANI......
....na  kwa bahati mbaya labda IMANI,...
.... moja ya misingi yake ni KUTOKUWA na UHAKIKA baadhi ya nyakati.:-(

Swali:
  • Si unajua ulichonauhakika nacho LEO sio LAZIMA kila siku zijazo/KILA WAKATI  utakuwa na UHAKIKA nacho kwa KIPIMO HIKIHIKI cha LEO?

Na  USICHO na UHAKIKA wala IMANI nacho LEO,...
... labda ni swala la kukipa MUDA tu HICHO.


Ni wazo tu HILI MHESHIMIWA!:-(Hebu Asa arudie - JailerHalafu Seu Jorge aturudishe kidogo brazil kwa - Pretinha ao VivoHalafu CEU hapahapa Brazil azime kwa- Malemolencia

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

JigambeAds 2:55 pm  

mmh, ni kweli inapidi ulifanyie kazi jambo flani ili uweze pata uhakika. na pia mtu ukijiamini pia inasaidia kuwa na uhakika na jambo unalolifanya.

SIMON KITURURU 8:29 am  

@Mkuu wa JigambeAds:Nakubali.... ila kujiamini saa nyingine kunamchezo wakuhitaji uwe na uhakika kwanza na ndipo hapo mchezo unapoweza kuporochoka!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP