Dawa CHUNGU saa nyingine NDIYO mgonjwa AHITAJIYO!:-(
>> Friday, November 18, 2011
NDIO,...
.... saa nyingine kwa mpenda UTAMU,...
... huweza kuchanganya kila TAMU na UZURI wa kitu ,...
...kitu kifanyacho kwa kupenda kwake UTAMU kuathiriwa kutostukia kuwa TIBABU la RIDHISHO kwake ni ndude CHUNGU.
Swali:
- AU?
ILA yasemekana kwa bahati mbaya TAMUTAMU KUNOGA inamchezo saa nyingine kwa BAADHI YA WATU kiladha zao kunasia,...
.... kwa MALAYA wa kulipia MTAANI zaidi ya kwa MAMA WA NYUMBANI,...
.....kwa totoz la kilokole ambalo ni MALAYA CHUMBANI kama liliopolewa disko vile ZAIDI ya BONGE la totoz la kilokole ambalo chumbani liko kama KANISANI ambalo linaheshima za kilokole zote kwenye mpaka ya UNYUMBA HALALI usio DHAMBI chumbani,...
....kitu ambacho labda ni swala la kuchunguza ni kwanini kwa mtu saa nyingine anasahau maji ni matamu SANA kiladha na kuongelea juisi kama ndizo TAMU kwa kuwa hazina maji mengi KILADHA.
Swali:
- Si unakumbuka kuna watu hawana LADHA mdomoni?
- Na si unakumbuka PILIPILI sio kionjo kitamu kwa kila mtu MDOMONI?
Ndio,..
.....KIDAWA,...
.... MCHUNGU saa nyingi HUYO ndiye DAWA,...
... na kihitajiwacho kisichopendwa ladha mara nyingi labda NI DAWA na NDICHO MUHIMU ZAIDI hata kama kwa kuwa kitibiwacho hakiitwi UGONJWA basi na TIBABU hata lile lisilo na mahaba nalo haliitwi DAWA .Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu kwenye GITAA LA BEZI aingilie kati VICTOR WOOTEN nimuheshimuye kwenye chombo ili aanzishe vita mpya kwa -U can't hold no groove if U aint got no pocket
Turudi KAMERUNI ili mpiga bass nizimiaye kazi zake Richard Bona aanzishe upya kwa - Djombwe
Halafu Richard Bona azime tu dozi tena kwa- Ekwa Mwato
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ladha ya utamu tulipewa na Mwenyezi-Mungu enzi zile za bustani. Na hatukupewa peke yetu, bali hata nyani, paka, nyoka na kiumbe chochote kile kingine kinao uwezo huo.
Enzi hizo tulikuwa ndio sisi kabisa (wala sio Simon) "Wajinga Busara"; kwani tulitembea uchi kama wanyama wengine bila kuona haya (hata hivyo hatukuwa na maradhi yoyote yale kwani Bustani yetu ilikuwa dawa yenyewe). Na ladha ya utamu ilikuwa ndio mwongozo wetu katika ujinga wetu kutofautisha chakula halali na vyakula kama matunda yenye sumu (yalikuwa machungu).
Siku moja tulijanjaluka lakini (yaani tukageuka HOMO SAPIENS au binadamu wa kisasa). Badala ya kutustiri, ladha tamu ikageuka STAREHE.
Hadi leo ukitaka kuishi duniani siku nyingi kama alivyokupangia Mungu, OGOPA PATAMU TU (isipokuwa patamu kihalali kwa mfano unyumba katika madhumuni ya kuleta watoto duniani chini ya utakatifu wa ndoa)
Ladha!mmmhh nimewaza tu kwa sauti hili neno LADHA...
Post a Comment