Sayansi ya KUCHAPA m-TOTOZ!
>> Sunday, November 06, 2011
Ndio,...
.... naamini VIBOKO Wabongo wengi wamekula katika makuzi yao..
...hebu tudeku .....
Science behind physically disciplining children.
Fundamentalism & Corporal Punishment
Breaking the Will of the Child
Social Science & Corporal Punishment- Introduction
Cultural Attitudes Toward Children
Scientific Evidence
Denial-"I was spanked & I'm Okay."
Spanking: Spare the Rod or Spare the Child
Discipline Without Hitting
Training Parents
Spanking kids in Zambia
Swali:
- Ushawahi kulichapa totot lako?
- Kwani ni MIKUBWA mingapi ushawahi kufikiri inafaa kutandikwa?
- Ushawahikulichapa kubwa zima na kama hujawahi ni kwanini?
- Unafikiri ZE MZUNGUZ na Ze WABONGOZ ki kifimbocheza hufundikishwa tofauti kitu kifanyacho ze MBONGOZ kuchapwa na Ze MZUNGU kuchapwa ni vitu tofauti?
Ndio,...
... kuna mikubwa MIZIMA ichapanayo PIA,...
.... na eti kisa katika matumizi hayo ya mikanda au fimbo ni KITENDO ndani TU tendo la penzi.:-)
NI mtonesho tu huu MKUU!
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment