Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

YA PAKISTANI:Kutuma meseji ZA SIMU zenye matusi mwiko kuanzia hivi karibuni !

>> Tuesday, November 22, 2011

PAKISTANI yataka kampuni za simu kuzuia meseji zenye maneno ya matusi.

... na maneno kama ,Jesus Christ, Satan, TAXI, Idiot, yakiwa ni miongoni mwa ambayo itakuwa mwiko kumtumia meseji rafikiyo  ukitumia sentensi yenye maneno hayo.....
DEKU ndude,...


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 2:44 pm  

Serikali zingine vichaa; lakini mgonjwa mkubwa kuliko wote tunaye hapa bondeni. Unaambiwa siku za usoni [kila gazeti kabla ya kuchapisha litahitajika lipeleke maandishi serikalini kwa madhumuni ya kuhalalisha toleo]

SIMON KITURURU 11:54 am  

@Mkuuu Gooodman : Kazi mnayo nyie waandishi. Hawataingilia Blogs huko hivi karibuni kweli?

Ila Wapakistani nao yani mpaka neno TAXI, Jesus Christ, idiot usimtumie rafikio kwenye text kisimu kweli?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP