Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

DUKA LA MZUNGU li WAZI, lauza MCHELE na NAZI,...

>> Saturday, November 12, 2011

.... kaniona MIMI  kafunga.........

Swali:
  • Unakumbuka haka kawimbo?
  • Na unafikiri  asili ya KAWIMBO haina uhusiano na kaukweli DUKA KIKWELI  lilikuwa na mchezo wa KUFUNGWA  akionekana mteja fulani asiye MZUNGU?

Ndio,...
..... labda kuchungulia ni STAREHE,...
... ingawa kuchungulia  ukifananisha na maneno ya KAWIMBO labda kuna kitu kingine  kilichozalisha kawimbo  kutumia SENTENSI husika kwenye huu wimbo ,...
.... ingawa tuuimbavyo twamaanisha kitu kingine ki KUCHUNGULIA malighafi za watu ,...
.....na miguu kubanwa tusione baadaya kustukiwa TWAKODOLEA malighafi.:-(

Ni wazo tu hili KINGUNGE!


Hebu Monique Seka aanzishe upya kwa-OKAMAN




Halafu hebu huyuhuyu Monique Seka azime kwa -Missouwa

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:06 pm  

Mmmmhhh ujumbe umefika. Jumamosi njema mkaka huko uliko:-(

Simon Kitururu 7:48 pm  

@Yasinta: Jumamosi njema kwako pia Kigoli!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP