Moja ya kitofautishacho MALAYA MBAYA na MALAYA MZURI!
>> Sunday, November 13, 2011
MALAYA MZURI hufanya MTEJA ajisikie kapata MPENZI na anapendwa kikweli,...
... wakati MALAYA MBAYA ni yule akumbukwaye na MTEJA kuwa ni MALAYA.
Swali:
- AU?
Kwa hiyo kama mtu hastukii aliyenaye ni MALAYA hata wa KIUME ,...
.... kumbuka tu labda kuwa bado haimaanishi MPENZI FULANI aliyejipendwa sio kiruka njia na siri ya kutostukiwa ni MALAYA ni kwa kuwa aliye mpenda KAJIPENDEA MWENYE ati!:-(Swali:
- SI nasikia eti MAPENZI hupofua ?
Ndio,..
... penzi kwa mpenda makalio makubwa,...
... yasemekana AKIPENDA hunenepesha MTUNO wa kalio hata la wenye makalio yaliyopigwa pasi kisa tu KAPENDA huyo.Ni uchokozi tu huu MHESHIMIWA!
Jumapili NJEMA!
Hebu FAYA TESS na LOKUA KANZA waanzishe upya kwa - BANA
Lokua Kanza abakize-MUTOTO
Papa Wemba aingilie kati kwa- Yolele
Papa Wemba aongezee - Kaokoko Korobo
Halafu Tshala Muana azime tena kwa-DEZO DEZO
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment