Katika kufupisha`` SHENZI´´
>> Sunday, November 06, 2011
``KIREFU´´ kuna wasiosikiliza,...
... na pia hata WASIOSOMA ya MUHIMU kwa kuwa tu eti yako ``KIREFU´´.:-(
Swali:
- Si kama REFU lahitaji UREFU basi labda acha tu liwe REFU?
Na kwa kuwa kuna WAFUPISHAO ``kifupi´´,...
... isije tu kuwa ``KIFUPI´´ maana yake nayo KIMAANA imefupishwa na kuwa fupi!
Swali:
- SI kifupi bado huhitaji kuwa bado ni kitu kizima?
Ndio kuna vipufishwavyo ,...
.... na labda ni vifupi kwakuwa sio vitu vizima kiujazo!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu tu BILAL aanzishe tena kwa-SOUL SISTA
Bilal aongezee - Fast Lane
Halafu tu BILAL azime kwa - Sorrow Tears and Blood
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment