Swala la ``KUFAIDI´´ ambalo huwezazalisha mpaka ``LABDA anafaidi zaidi alalaye na RAIS!´´
>> Friday, November 18, 2011
Swala la KUFAIDI,...
... laweza hitimishwa kwa kudhaniwa ``WENGINE wanafaidi zaidi ´´´...
...na nakama kwa wengine wana`` URAIS `` kama kipimo cha juu cha KUFAIDI hufanya hata yahusianishwayo na URAIS kuwa ni kigezo kizima cha nini ni KIPIMO cha juu cha KUFAIDI,...... na kufanya mpaka twaweza kusahau labda kuna mengine ni hausi boi wa MWENYEKITI WA KIJIJI ndiye ajinomayo KIKUFAIDI na na sio RAIS.:-(
Swali:
- Unabisha?
Na kwa kuwa labda inahitaji kwanza MTU awe na tafsiri yake BINAFSI yakuwa KUFAIDI ni nini,...
... labda ikitafsiriwa vizuri WATU huweza kuhitimisha KIDUDE ni KIDUDE tu hata kama kimemnasia BINADAMU MWINGINE asiyelengwa na FANTASI za mtu zilizojengwa na tafsiri zake za nini ni KUFAIDI.:-(
Swali:
- AU?
Ndio,...
...katika swala zima la KUFAIDI,...
... labda faidi tu ulichonacho KINGUNGE ,....
.... kwa kuwa labda ni FANTASI tu ambazo zafanya MENGINE na YAWENGINE kwako kitafsiri ni KUFAIDI,...
.... na waweza kujikuta unapoteza muda kwa kutamani nyama ya kuku wa kizungu USIYONAYO kikufaidi ambayo ukiipata matokeo yake ni kustukia unanogewa zaidi na nyama ya kuku wa kienyeji ambayo ulikuwa nayo tokea zamani na hukuifaidi kwa kuwa ulikuwa huipi chansi kinafasi ili UIFAIDI kwa kuwaza usiyo nayo ile ya paja la kuku wa KIZUNGU.
Swali:
- AU?
- Si wajua ukichunguza labda kila MTU kuna afaidicho kuliko wengine ?
... labda KUFAIDI,...
.... ni tendo la kustukia ni kitu gani MAISHANI mwako weye hicho UNAKIFAIDI zaidi ya WENGINE!:-(
Ni wazo tu hili KAMANDA na usikonde!
Ijumaa na WIKIENDI NJEMA MHESHIMIWA!
Hebu turudi KONGO ili Staff Benda Bilili waanzishe upya kwa - Je t'aime
Hapahapa KONGO hebu KONONO No. 1 Waingilie shughuli kwa....
Konono No 1 waendelee---
Au tu KONONO No.1, Herbie Hancock ,India Arie na wengine wazime tu kwa-IMAGINE
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment