Hapa ndio tumekwenda na maji tu, hata nasi wanablogu.
Uzuri wa maisha ni kwamba kila unapomtolea nguruwe mkuki kumbuka utakuwa mchungu huohuo mkuki hata kwako.
Na hisi serikali ya wenzetu imejichongea yenyewe mkuki wa kuondolewa madarakani mithili ya serikali za Afrika Kaskazini.
Niambie Simon nawe Msomaji: Sheria hii itadhibiti kivipi "Twitter"?
(Methinks this is all a closing of the stable after the horse has already bolted--yaani unafunga lango la zizi kwa farasa ila asitoroke BAADA YA FARASA MWENYEWE KUTOWEKA!!!)
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

@Mmkuu Goodman: Ndio hapooo! Ila nahisi hii kitu itakuja hata Tanzania.:-(
Post a Comment