Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Watanzania wawili kucheza ligi daraja la pili Sweden

>> Friday, November 25, 2011


William John

Joseph Kaniki (Golota)Wachezaji wawili wa kitanzania, Joseph Kaniki (Golota) na William John wamefanikiwa kujiunga na timu ya ligi daraja la pili KonyaSpor (KIF) nchini Sweden, baada ya kufanikiwa kupita katika majaribio( Trials). Majaribio hayo yalijumuisha wachezaji zaidi ya thelathini ambapo wachezaji watano walichaguliwa kujiunga na klabu hiyo ya ligi daraja la pili KonyaSpor (KIF)

Habari hii imeletwa kwenu na:http://www.africa4life.com/


Nimetumiwa na:
Nancy Mtunga

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

tanzaniakwetu 9:39 am  

Safi sana kusikia watanzania wenzetu wamepata chance ya kwenda kuchezea huko sweeden, inabidi wachezaji wengine pia wapate changamoto ili wajitahidi kwenye kucheza kwao na kuwa na kiwango kizuri na kuweza kujiendeleza na kuweza kupata nafasi hata za kwenda kuchezea nje kama akina William na Golota.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP