Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tuff rec yafanya wimbo wa miaka 50 na wasanii wa Morogoro

>> Monday, November 07, 2011Studio ya Tuff Records iliyopo mjini Morogoro,Katika kushehelekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.katika sherehe hizo Tuff Records yawakusanya wasanii wa kizazi kipya ambao ni wapya katika tasnia ya muziki,ikiwa kama kuonesha umoja wao katika taifa.Wimbo huu ni kwajili ya watu wote wenye upendo na inchi hii. Ni kwa ushilikiano na blog ya CHUMA (BFL) http://bongoflavalink.blogspot.com
WASANII WALIO SHILIKI KATIKA NYIMBO NI:

NellyTuff Rec Ft Nelly Crizy, Man Fair, Nasreal, Malale,GS, Big Poppa, Raz Q, Roberly &Young Steve

Mtayalishaji wa muziki
GQ- 0657659969

WIMBO:
TUNAWEZA(MIAKA 50)

STUDIO:
TUFF RECORDS
kwa mawasiliano: +225 712 222244

Tuff Rec Ft Nelly Crizy, Man Fair, Nasreal, Malale, GS, BIG Poppa, Raz Q, Roberly & Young Steve - Miaka 50 Ya Uhuru (Prod By GQ).mp3
9320K   Play   Download  


Nimetumiwa na:
Salim Chuma

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP