Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA hakuna PENZI liishilo bila UCHIZI wa wapendanao WAPENZI!

>> Sunday, November 20, 2011

Ndio,...
.... labda  kama hakuna UCHIZI kwenye PENZI LAKO,....
.....labda kumbuka kwa wengi  ukitumia akili  penzi tamu  sana  kwa kutumia akili  hushushwa dozi KIUTAMU  na kuna washushwao dozi  WAPENZI mpaka  penzi lao hata likichunguliwa halitawezwa kutofautishwa na PENDO LA DADA na KAKA hata ingawa pendo la DADA na KAKA ni chanya  tu hata katika maisha ya wasio DADA na KAKA kibinamu .


SWALI:
  • Au?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMAPILI NJEMA  Mkuu!
Hebu WILLIE BOBO asigine kidude kwa-GUAJIRA
Au tu azimaye awe ni Oliver N'goma apenyezaye  tena ya- Lili

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:22 pm  

Simon:-( ..Haya Jumapili njema nawe pia...

Swahili na Waswahili 11:37 pm  

Wa Kitururu iwe njema nawe kaka wa mimi, Eti Binamu;

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP