Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LEO baada ya Rais wa zamani wa PHILIPPINES yule GLORIA ARROYO kudakwa kwa wizi wa kura za mwaka 2007

>> Friday, November 18, 2011Kama Mtanzania:
  • Unahisi ipo siku  mambo kama haya  ya kujaribu  kumuwajibisha kiongozi  baada ya  kuondoka madarakani yatakuja tokea BONGO?


Ndio,...
.... Rais Gloria Arroyo leo kadakwa tena akiwa anaumwa hospitalini  kisa  maswala ya wizi wa kura ya mwaka 2007 akiwa Rais.

Na kikubwa   kisa cha kudakwa kwake  wala hakuhusiani na kura zake mwenyewe kama Rais ,....
.... bali kwakuhusishwa na kuhusika kwake  katika kufanikisha mpambe wake anashinda kiti cha useneta kwa kufanikisha wizi wa kura za mpambe wake huyo.


HABARI zaidi HAPA

Swali tena kimarudio:
  • Unafikiri  ipo siku KATIBA YA BONGO itaruhusu  kuwajibishwa kwa watawala washirikio  kuhaini  nchi  baada ya wao kuondoka katika hatamu?

Nawaza tu kwa SAUTI!


Hebu tujaribu kubadili wazo kwa uchokozi kutoka kwa mtoto mzuri JOSEY PRISCILLE


Haya basi NIMEACHA MKUU!

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 6:44 pm  

Uzuri wake ni kwamba hamna mtu Phillipines mwenye ndoto ya kusema nikiwa raisi, hata baada ya hapo, "hamna atakaenigusa!"

Afrika nasi tutafika tu. Sharti tu tuwe na mwamko kama wananchi!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP