Safari ni NDEFU,...
>> Saturday, November 19, 2011
... lakini,...
...UKISAFIRI kuelekea ufikiriako ni utakako KWENDA,....
.... waweza kuja kustukia utakalo kwa unakotaka kwenda lipo palepale TAYARI ulipo.:-(Ni wazo tu hili MKUU!
Jumamosi njema MKUU!Hebu turudi MALI ili Oumou Sangaré aingilie tena kati kwa - Seya
Halafu huyuhuyu Oumou Sangaré azime kwa -Ahn diyah
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment