Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mahojiano Maalum na Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda Part 3

>> Monday, November 21, 2011

Salam,


Urban Pulse Creative inakuletea sehemu ya tatu katika Mahojiano maalum kutoka kwa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
.
Asanteni,

Urban Pulse CreativeNimetumiwa hii na :
Frank Eyembe wa Urban PULSE

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 10:42 am  

Hoja nzuri sana; lakini kwa kuingiza maswali kuhusu Mzee wa Loliondo (au kwa kumuachia Waziri Mkuu aendelea pita kiasi juu ya suala hilo), mtangazaji ameuharibu muda mzuri wa kuongelea masuala ya umuhimu zaidi. Mfano mzuri wangeenda kwa undani kuzungumzia hatua za sasa kiserikali ili kupata suluhisho la kudumu juu ya mawuaji ya walemavu wa ngozi.


Hata hivyo, mahojiano yalienda vizuri sana na mtangazaji ameonyesha kujiamini katika kazi zake. Hongereni!

emu-three 2:56 pm  

Mkuu tupo pamoja, i wishi kasimu kangu kangeliweza kudowloading , lakini, ngoja nitawahi asubuhi saana.

emu-three 2:56 pm  

Mkuu tupo pamoja, i wishi kasimu kangu kangeliweza kudowloading , lakini, ngoja nitawahi asubuhi saana.

SIMON KITURURU 11:56 am  

@Mkuu Goodman: Hata mie nilistukia kiaina hilo!
@Mkuu EMU THREE: Tuko Pamoja!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP