Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

PSPF YAKABIZI MSAADA KWA KIKUNDI CHA WALEMAVU CHANG'OMBE

>> Monday, November 07, 2011Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma PSPF, Bi.Fatma Elhady  (kushoto) akimkabidhi msaada wa hundi ya shilingi milioni 1.5 Bi.Dominion Apiyo wa Kikundi cha Walemavu cha Little cha Chang'ombe wilayani Temeke,Dar es Salaam jana(.Picha na mpigapicha wetu)

--

Rajabu Mhamila 'Super D'
Photojournalist at Majira, Business Times
        +255774406938
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam TanzaniaNimetumiwa habari na :
Rajabu Mhamila.

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP