Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ya DUNIA: MRUSI ahusuduye MAITI na MAKABURI!

>> Thursday, November 10, 2011

Halafu et kuna waogopao MAKABURI,...

....Haya deku BASHASHA ...

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:48 pm  

Ama kweli hapa duniani kuna ya dunia!

Swahili na Waswahili 6:09 pm  

Mmmmhhh kweli ya dunia, kuishi kwingi ni kuona mengi.

SIMON KITURURU 7:51 pm  

@Da Rachel na Yasinta: DUNIANI kuna mambo aisee!

Goodman Manyanya Phiri 11:06 pm  

Hayo mambo mbona ni ya kawaida sana. Ni moja tu katika "aina za mapenzi yasio halali" kama

1. Kupenda miguu ya watu

2. Kumpenda mtu mwenye jinsia sawa na yako.

3. Kumpenda mnyama kwa mfano mbwa

4....na mambo mengi-mengi tu ya kuonyesha upana na urefu wa akili ya binadamu.


Soma kitabu cha saikolojia na utayapata mambo mengi kuliko yaliotajwa hapa, na yote yanatoka kwenye akili ya mhusika na huwezi ukambadili!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP