Kwani MTANDAONI unastukiaje ANONYMOUS ni MWANAMKE au MWANAUME kimaandishi yake TU?
>> Thursday, November 24, 2011
Najiuliza tu baada ya kukutana na baadhi ya WADAU WAWILI JANA ambao mtandaoni nilikuwa nadhani ni WANAUME ,....
.... na kumbe ni vigoli bomba tu!(Msinitusi kama mwanisomalakini leo)
Na katika kuongeanao tukatofautiana kidogo kuhusu EMU THREE ,...
....wa DIARY YANGU
... wao wanadai ni demu na mimi tokea enzi hana BLOGU yake na nakutana na comment zake kwa DINAHICIOUS wa MAHABA HUKU,...
... kuwa huyu NGULI ambaye nakiri simjui jina lake halisi ni DUME.
Kwa M3:
Ambiere M3 EEEH!,..
...jana kuna katopiki ambako kamefanya nipende zaidi staili yako kwani mpaka leo niwafahamuo kila mtu anauhakika kivyake TOFAUTI kuwa wewe ni JINSIA GANI.
Ila mie niko pale pale kuwa weye ni (kwa kipare)MGHOTHI aithee!
Tukiachana na hilo:
- Wewe unastukiaje JINSIA ya mwandishi asiye jitambulisha mtandaoni?
- Na kwani ni lazima kujua MWANDISHI KIJINSIA ni yule akojoaye kirahisi kasimama au ni yule achuchumaye kiusataarabu ili kukojoa kirahisi ili kulenga shimo la choo cha shimo wakati MADA iongelewayo labda haina uhusiano na jinsi ya kukaa kistaarabu kwa aliyevaa sketi fupi kwa kuwa ni ile ya hivi DAR -ES- SALAAM ile posta mpya itaitwa POSTA mpya mpaka LINI wakati labda wala sio MPYA tena siku hizi?
Ni MTONESHO tu huu MHESHIMIWA na usikonde!
Hebu Kleptomaniacs watunishe- Tuendelee
Mashifta warudishe - System ya Majambazi
Mashifta waongezee-Pesa ,Pombe, SIASA na Wanawake
Halafu LONGOMBAS wazime kwa kukumbusha-Vuta pumzi
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kweli leo umeneno na hii ni hatari kidogo...Lakini pia utajuaje hata kama si ANONYMOUS huyo mtu ambaye hata hujaonana naye ni mwanaume au mwanamke?
Post a Comment