 |
Jhikoman na MIMI |
Nimekumbuka tu kitu leo,...
..... ambacho Brother JHIKOMAN na MIMI tokea enzi tunasoma MOROGORO SEKONDARI kilikuwa kinatuunganisha.
Hebu JHIKOMAN aanzishe upya kwa-Nyerere
JHIKOMAN aingizie
-Moyo Unadunda
Halafu hebu tu JHIKOMAN aongezee- KUAGANA
Halafu azime kwa
-SET ME FREE
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ahsante kwa kutokuwa mchoyo...kumbe enzi zake ulikuwa bomba kweli ingawa bado ni bomba:-)
@Yasinta: Uzee unanyemelea kidude unajua! Unafikiri enzihizo ningekutongoza mambo yangekuwa biee?:-(
Duh!
Post a Comment