Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bado kiwezeshacho``KUPENDA´´ chaweza kugeuka TATIZO,...

>> Wednesday, November 16, 2011

....  kwa kuwa CHOCHOTE kile chaweza KUPENDEKA ukikaa vizuri,...
... na KUPENDA kwa MTU,...
.....kwa wengine labda tayari ni TATIZO.:-(

Swali :
  • AU?

NDIO,...
.... ``NAPENDA´´,...
.... hata kama ni ile ``NAKUPENDA´´,...
.... kuna watakaodai hubobea maudhaifu ya watu husika WAPENDAO ambayo si lazima kwa mtazamo wa asiyehusika kuonekana kama ni CHANYA au hata TATUZI hata kwa PENZI,....

... na labda ndio maana MAPENZI yamejaa WAPENDAO MTU wasio pendwa na huyo WAMPENDAYE.:-(


Ni wazo tu hili MKUU!

Hebu turudi NIGERIA kwenye ile zilipendwa Easy Motion Tourist kama ilivyodungwa na Fatai Rolling Dollar / Harbors Band

Au tu Fatai Rolling Dollar aongezee - Allah Na Tu Ba

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:10 pm  

kigeugeu:-)

Swahili na Waswahili 11:10 pm  

Kizungu mkuti;

SIMON KITURURU 8:51 am  

@Da Yasinta na Da RacheL: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP